Covid 19 imefanya maisha kuwa salama zaidi ukibaki nyumbani na kupunguza mizunguko na misongamano. Kwa kuliona Hili - Feypassion tunakuletea fursa ya kuonana na Daktari ukiwa nyumbani kwako. Huhitaji kupanga tena foleni ili tu kumuona daktari. Tumia platform yetu ya Online clinic kupata huduma na ushauri kutoka kwa daktari bingwa na wabobezi.